Una utani na Makamu Mwenyekiti wetu?Walivyo wazuri hivyo, kuna binadamu hawaridhiki mpaka wawafanye kitu kinaitwa trophy hunting.
hakuna kitu simba anaweza kufanya hapo.simba anapiga kwa timing Ila Tembo nae si haba akiotea huwa simba anaambulia kipigo. hapo wote wababe