Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 2, 2010 #1 KATIBA mpya Tume huru ya UCHAGUZI Ofisi huru ya MSAJILI wa vyama TAKUKURU huru Kuiondoa MAHAKAMA kutoka c idara ya mahakama na kuwa mhimili kamili ambapo CJ anakuwa na status sawa na speaker wa BUNGE. .... List inaendelea unaweza kuongezea
KATIBA mpya Tume huru ya UCHAGUZI Ofisi huru ya MSAJILI wa vyama TAKUKURU huru Kuiondoa MAHAKAMA kutoka c idara ya mahakama na kuwa mhimili kamili ambapo CJ anakuwa na status sawa na speaker wa BUNGE. .... List inaendelea unaweza kuongezea