Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
kwa sababu ni mkutano kuhusu mazingira, yako chini ya shein, kwa maoni yangu, cop2 ni mkutano muhimu kuliko hata chogum, kwa vile mzee ni mtu wa misele, atarudi na atakwenda pia.
Tayari contingent kubwa la ujumbe wa vyama vya kiraia umejipanga kutia timu wakiwemo wanahabari 5 wakongwe toka kwenye tasnia ya habari za mazingira watatia timu.
Waziri burian na ujumbe wake mnene wamejipanga tayari na position paper ya tanzania ili huko angalau tukohoe tusibaki watazamani.
mhhh..
Kwa hiyo wataenda kuzungumza for the sake ya kuzungumza
nothin serious.
Something serious is coming out this time, si umeshasikia Mzee mzima Barak anatia timu kutia baraka zake? wanene wameshakubali kupunguza hizo emmission zao japo kidogo, its better than nothing kwa sababu jjamaa waligoma kabisa kusaini Kyoto Procal.
Position paper ya Tanzania ni kama kukohoa tuu ili kusikika kumbe na huyu mtu yupo, hatuna lolote sana sana labda tutapiga chafya tuu na kusubiri kupangiwa, huku watambaji ni wenye msuli.
It would be intereting kuona hiyo manifest na taaluma za hilo kundi tulilolipeleka huko
si ma PER DIEM hiyo...
huwaga hakosi, na lazima wajionyeshe tuataenda mwenyewe j.k
Kyoto ProtocolSomething serious is coming out this time, si umeshasikia Mzee mzima Barak anatia timu kutia baraka zake? wanene wameshakubali kupunguza hizo emmission zao japo kidogo, its better than nothing kwa sababu jjamaa waligoma kabisa kusaini Kyoto Procal.
Position paper ya Tanzania ni kama kukohoa tuu ili kusikika kumbe na huyu mtu yupo, hatuna lolote sana sana labda tutapiga chafya tuu na kusubiri kupangiwa, huku watambaji ni wenye msuli.