Nani atazitambua juhudi za Afande Kamara wa Kawe ktk kupunguza ajali za barabarani?

Joined
Jul 11, 2020
Posts
66
Reaction score
145
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi Mabwepande.

Nimekuwa nikifuatilia kazi zake kwa kuwa nina uzoefu na maeneo yote aliyofanyia kazi tangu akiwa wilaya ya kipolisi Kimara. Ni kawaida yake kuwa na session za mara kwa mara na madereva hasa wa bodaboda hali inayofanya bodaboda wengi wamuone kama kaka yao.

Labda ari ya kazi yako na uadilifu wake unatokana na kupata elimu yake seminarini. Kwa masomo ya O-level na Advance amesoma St. Francis De Sales Junior Seminary Kihonda, Morogoro. Na ni mtu mwenye shahada ya uzamili (master’s degree).
Picture1.jpg

Nimesoma kitabu cha Erick Kabendera alichoandika kuhusu Magufuli, nimesoma kitabu cha Kamara Kusupa aliyepata masaibu wakati wa Kikwete. Watu wote hawa wamelalamikia elimu za waliowengi katika Jeshi la polisi. Inawezekana wana ukweli kwamba katika askari wasio waadilifu wapo ambao wasio na elimu. Hata hivyo, kwa suala la elimu ya Afande Kamara, linafanya tuone fika kwamba kuna uhusiano mkubwa wa elimu na Utendaji kazi.

Nina uhakika kwa mambo mengi anayoyafanya kama DTO yanauhakika wa kupunguza ajali za barabarani ndani ya wilaya ya kipolisi Mabwepande. Angalia hapa moja ya video akitoa mafunzo kwa madereva na wasio madereva.
 
Ni ukweli, elimu inahitajika katika jeshi la polisi. Tuachane na dhana hii kuwa ",nikifeli naenda upolisi " hiyo ni miaka ya 80. Eti huko ni nguvu zinahitajika tu sio elimu.
 
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi Mabwepande.

Nimekuwa nikifuatilia kazi zake kwa kuwa nina uzoefu na maeneo yote aliyofanyia kazi tangu akiwa wilaya ya kipolisi Kimara. Ni kawaida yake kuwa na session za mara kwa mara na madereva hasa wa bodaboda hali inayofanya bodaboda wengi wamuone kama kaka yao.

Labda ari ya kazi yako na uadilifu wake unatokana na kupata elimu yake seminarini. Kwa masomo ya O-level na Advance amesoma St. Francis De Sales Junior Seminary Kihonda, Morogoro. Na ni mtu mwenye shahada ya uzamili (master’s degree).
View attachment 3223623
Nimesoma kitabu cha Erick Kabendera alichoandika kuhusu Magufuli, nimesoma kitabu cha Kamara Kusupa aliyepata masaibu wakati wa Kikwete. Watu wote hawa wamelalamikia elimu za waliowengi katika Jeshi la polisi. Inawezekana wana ukweli kwamba katika askari wasio waadilifu wapo ambao wasio na elimu. Hata hivyo, kwa suala la elimu ya Afande Kamara, linafanya tuone fika kwamba kuna uhusiano mkubwa wa elimu na Utendaji kazi.

Nina uhakika kwa mambo mengi anayoyafanya kama DTO yanauhakika wa kupunguza ajali za barabarani ndani ya wilaya ya kipolisi Mabwepande. Angalia hapa moja ya video akitoa mafunzo kwa madereva na wasio madereva.
View attachment 3223617
Tangazo hili la biashara linaletwa kwenu kwa MSAADA wa Watu wa Marekani.

Tutawamiss sana USAID, hata wakikujengeeni choo cha shule, hawakuacha kuwasuteni japo kidogo, kwamba nyie ni mazuzu ndio maana mmeshindwa kujenga hata choo.
 
Back
Top Bottom