Katika press conference aliyofanya leo sambamba na Dismas Ten,Mwinyi Zahera amesikika akilaumu upangaji wa ratiba ya michezo ya ligi pamoja na kumtuhumu Refa aliechezesha mchezo kati ya Yanga na Coastal kwamba amekuwa akisafiri pamoja na timu ya simba na akaenda mbali zaidi kwa kusema mambo hayo Congo unakufa na unachomewa Nyumba moto.
Ni vizuri kocha huyu mropokaji ajikite ktk mambo ya kiufundi zaidi kuliko kuwachochea watanzania wafanye uhalifu na mauaji na ajue kwamba Tanzania sio Congo na watanzania hatuna zuri la kujifunza kutoka Congo.
Natumai Mamlaka husika zimemsikia na ataelekezwa adabu na atakumbushwa wajibu wake kama kocha.
Sent using Jamii Forums mobile app