Nani bingwa wa kiswa-english kati ya hawa mastaa wa kike bongo?!

V money huwez mlinganisha na wema english ya kutafuta na sumaku. V kakulia nje miaka mingi pia exposure ni kubwa tafuta mwingine wa kumshindanisha nae
 
Naona pia Shaa na Witness Kibonge wanajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…