Nani Bingwa wa kula Ugali kati ya Hawa?

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu.
1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja
2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa.
3.huyu jamaa alikula ugali mkubwa na mboga ikawa ugali mdogo
nani bingwa kati yao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…