Mr bean, anakuchekesha huku amevaa suti na hatoi sauti yoyote, vitendo tu utacheka mpaka ukojoe,
Sio hao wengine mpaka ajiweke chokaa kichwani ili aonekane mzee
C. Chaplin ni anaweza, but dereva wa Lori ni kiboko yaaawo. Hadi ongezeko la watalii tunadhani wanakuja kuangalia wanyama kumbe wanakuja kucheki vituko vya Dereva.