Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
- Thread starter
-
- #121
Ha ha ha ha! Kuna hawa Three Stoges nao ni wazuriKwangu ni mr bean ata kama nna bad day naanza kuangalia clip zake basi nacheka mwenyew bt weng wanamsifia chaplin ngoja huyo nae nkamuangalie
Nawakubali sana hawa viumbe
Jason bateman
Adam sadler
Jim carey
Steve carrel
Seth rogen
Jenipher aniston
Ben stiller
Jonah hill
Wanaigiza movie flan hivi za serious comedy ukitulia huwez kuwa disappointed aisee...
Ok ntawachek piaHa ha ha ha! Kuna hawa Three Stoges nao ni wazuri
kumbe hata Mimi ckujuaHuyu mtu bongo hawamjui wao wanajua mr bean tu
Mkuu ntaipata kwa kutumia nini nimecheki showbox hola! 1337x hola msaada engen ingine inakopatikanaChaplin ni noma tafuta kitu inaitwa pay day mbona huyo mr bean ni mwanafunzi wa chaplin