Hii iko off topic kidogo lakini ina vitu vinavyohusiana na mada hii:
Hapa nadhani kuna factions mbali mbali za wakoloni wakiingereza ambapo kila faction ilikuwa na mtu wake ambaye wangetaka awe Rais wa Tanganyika (baada ya kuona vugu vugu la uhuru kwenye nchi za Afrika haliwezi kuzuilika).
Unaweza kuona kwamba Julius aliandaliwa na faction fulani (including yule padre wake) na Oscar aliandaliwa na faction fulani (including huyo askofu wake wa kianglikana). Pia kuna faction nyingine zilikua zinataka chifu huyu au yule awe Rais.
Kidhehebu Muingereza aliwapendelea Anglicans kwanza, then Presbyterians, then Lutherans. Muingereza hakupenda wakatoliki. Walutheri alikuwa na wasi wasi nao kidogo kwamba wangependa wajerumani zaidi ya waingereza.
Nahisi hilo jeshi la Tanganyika African Rifles ambalo lilirithiwa kutoka kwa jeshi la kikoloni lilikua na waprotestanti wengi wa kianglikana na kipresbyterian. Walutheri walikuwepo ila sio wengi kama hao wengine.
Nahisi vile vile huenda kisiri siri Kambona alikua chanzo cha hiyo 1964 mutiny. Huku aki act kama ndo anawatuliza. Nimenote Job Lusinde ni muanglikana pamoja na samuel malecela. Nahisi Julius aliwatumia walutheri na presbyterians kuwatoa waanglikana kwenye jeshi. Then akatumia waislamu kuwatoa walutheri. Then akawaweka wakatoliki.
Anyway baada ya hiyo mutiny Julius alifanya maneuvering na kuwaweka wakatoliki jeshini. Akija Rais muislamu huwa anaweka watu wake lakini akitaka kuvuka kiwango fulani huwa ana meet resistance ambayo inamfanya aache huo mpango.
Ingawa Julius alishinda hii power struggle na nchi ili suffer because of him, it was a blessing in disguise. Wakati wa waprotestanti kuongoza Tanzania ulikua bado haujaja. Waprotestanti walikua na tamaa ya mali na majivuno, wakati hawakua perfect spiritually as they were supposed to be. They had to be humble na kupunguza pride yao before washike uongozi. Waanglikana walikuwa karibu na waingereza na uanglikana sometimes unafanana na ukatoliki, so huenda hakuna spiritual advantage kubwa ya Rais wa kwanza kuwa muanglikana.
Julius aliposhinda power struggle dhidi ya Sokoine (Sokoine alikuwa mkatoliki) it was a blessing in disguise. Nchi ilihitaji ahueni ya kupumzika kutoka siasa za Sokoine.
Format wanayopenda kutumia nchi kubwa ni kwamba kunakuwa na ‘rafiki’ wao namba moja (Julius) na ‘rafiki’ wao namba mbili (Oscar), ili rafiki yao namba moja asipofanya wanachotaka basi rafiki yao namba mbili anamuondoa huyo namba moja na kuwa kiongozi. Mara nyingi wanapenda rafiki yao namba moja awe boya na rafiki wao namba mbili ndo awe na madaraka ya kweli. Waingerea vile vile wameweza kuweka marais waislamu marafiki zao kwenye nchi za kiafrika e.g. magenerali wakiislamu wa Nigeria. So saa ingine wanaangalia maslahi yao na sio dini.
Nadhani kutokana na political maneuverings alizofanya Julius katika mazingira magumu na hatarishi anastahili kuwa mwenye heri wa kanisa lake. Bila ya yeye kanisa lake lingepata shida hapa nchini. Of course wengine ambao si wakatoliki (pamoja na wakatoliki wachache) wanaweza kutoa sababu za kukataa uenye heri wake.
Moja wapo ya Dilemma ya waingereza kidini ni kwamba mjerumani alishakuja Tanganyika. Since ulutheri ndio ilikua dini ya watawala wa Ujerumani (Bismark na Kaiser), Wakoloni wa kijerumani walichagua maeneo mazuri sana ya TZ (Kilimanjaro, Usambara, Arusha, Mbeya, Iringa na Kagera) na kuyafanya maeneo ya walutheri. Of course wakatoliki wakijerumani walipewa pia sehemu ya maeneo hayo. Muingereza kuja akabidi aeneze uanglikana kwenye maeneo ambayo sio mazuri sana (Dodoma etc). Ingawa aliweka makanisa pia kwenye maeneo yale ya walutheri.
Sasa the winds of change are blowing across Tanzania. Na uprotestanti umepata nguvu tena Tanzania (especially wapentekoste na walutheri). Nadhani around 1/3 to 40% ya watanzania ni waprotestanti wa madhehebu mbali mbali. Kuna dalili kwamba baada ya miaka 70 ya uhuru (2031) waprotestanti ndo wataiongoza Tanzania. Na makanisa yao ndio yatakalia kiti cha utawala Tanzania. Pia kuna uwezekano nguvu kubwa pamoja na propaganda ikatumika kuzuia hayo mabadiliko yasitokee. Kwahiyo anayejua na muamuzi wa haya ni Mungu wa Isreal mwenyewe.