Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?



Nacheka sana. Inaonekana hujakaa na watu wenye elimu ndio maana ulisema kwamba hakuna mtu ambaye unampelekea....

Kaa na watu wa elimu ujue nini maana ya elimu,watu wako makini mpaka unapotakiwa kuweka kituo.

Elimu ni amana mzee na elimu haina mwenyewe bali ina watu wake.

Kukosa kwako umakini kumekufikisha hapa. Soma kaka tena usome hasa,ibakie tu ule udhaifu wa kibadamu na sio uzembe.

Mpaka hapa kazi yangu imeisha yaani nimemaliza.
 
Hakuna anayetawala per say... (Tumu-exclude Mungu katika conversation hii)

Ila kuna watu kadhaa/wachache wenye influence kubwa ambao wana uwezo wa kupeleka mambo katika mwelekeo fulani.

Ila hakuna ambaye kiujumla exclusively ana influence katika kila nyanja. Ni kwamba wamegawana gawana. Wengine wanaelewana wengine hawaelewani.

Hivyo, ndio kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kuchochea jambo fulani lakini kiuhalisia, hakuna wenye exclusive power ya kuweza kufanya chochote kile.
 

Hivi hujasahau cha kuongezea kweli katika maoni yako haya ?

Elimu haiongopi na ukitaka kuijua HAKI waangalie wenye haki kina nani.

Ila kaa ukijua hili deni umeliacha hapa.

NIMEMALIZA ....
 
Kiongoz mmiliki ni mungu ila mtawala ni nguvu za kiroho ambapo kuna nguvu za giza na roho ya yesu kristo. Kwahiyo mtawala inategemea kwako ww mwanadam umechagua yupi atawale maisha yako.
Kuna baadhi ya maswali huwa nakosa majibu yake. Naomba waelewa waweke mambo wazi; hii dunia tunaishi inatawaliwa na nani?

Je ni Mungu, Taifa fulani au ni MTU mwenyewe?
 
Sawa lakini.mtu anipe sifa za kiongozi
 
Mkuu ina maana sisi Tanzania hatuna mtu aliyefikia hizo level za juu iki tukamuulize hili swali LA mtoa mada?
 
Uko sahihi kiasi fulani, nimeshawahi kuandika humu kuwa binadamu kujua kwa nini yupo hapa duniani ni mtihani. Na nikatoa mfano wa karanga na mkulima.
Ila story tulizokaririsha zinatufariji na kuona hatuko hapa tu burebure.
 
wakishawashirikisha...itakuwa hakuna jipya tena ..
 
Uhmmm...
Biblical inspired, Man's purpose was to rule and conquer the world.

I don't know alot about other origin stories but I believe that's the purpose,to make great impacts to this world and pass it on to the next generation...(DNA?)

I wasn't there when life on earth begun but religions do carry some truth..

What if we are just the remains of a great world before us from a different galaxy,or just right here in our solar system....saved as small compact seeds in corpuscles all together with other living things and happened to survive on earth..maybe failed in others...what if?

Cause that's what Man would exactly do if the world was ending....wait there are sperm bank already..we are getting there..

Well dolphins have quite an impressive frequency range,brain use...tell me why they aren't building rockets or tryna survive on land as man? Weak as we look we have built submarines and rockets and planes....we might have been destructive on the way but oh...im impressed by our race.

Surrounded by all powers,energy,entities
On earth or in space... the human race has been brave and has conquered and controlled...

So pleeeease name me a mortal as successful as man, I'll wait.
 
MIMI ISIS GODDESS OF 10,000 NAMES WALAHI
 
Human being as the only Intelligent being existing with no co- existance of other Intelligent beings?.....Damn

Is human being responsible with the Artificial Intelligence ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…