Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

The lord God of Israel!
Yohana 14:30 Sitasema nanyi tena mambo mengi, kwa maana mtawala wa ulimwengu anakuja, naye hana uwezo juu yangu.
(Hayo ni maneno ya Yesu nani huyo hana uwezo juu ya Yesu?)
Mathayo 4:8 Tena Ibilisi akampeleka Yesu kwenye mlima mrefu sana, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na utukufu wazo. 9 Naye akamwambia: “Nitakupa vitu hivi vyote ukianguka chini na kunifanyia tendo la ibada.”
(Shetani angawezaje kumuhaidi Yesu vitu ambayo hana)
1Yohana 5:19 Tunajua tunatokana na Mungu, lakini ulimwengu mzima unakaa katika nguvu za yule mwovu.
 
Kuna baadhi ya maswali huwa nakosa majibu yake. Naomba waelewa waweke mambo wazi; hii dunia tunaishi inatawaliwa na nani?

Je ni Mungu, Taifa fulani au ni MTU mwenyewe?
kwa sas anayetawala dunia ni shetani lakini mda sio mrefu ufalme wa mungu utakuja kutawala dunia kwa mara nyingine tena
 
Anaetawala hii dunia ni " ulimwengu wa roho " chochote pesa , uongozi na vyote vyenye mafanikio ya kutisha ni ulimwengu wa roho . Dunia ni photocopy ya uhalisia wa ulimwengu wa roho .
 


Lifecoded labda nikuambie kitu kimoja Zurri atakuumiza kichwa

Kwasababu wewe unampa fact yeye analeta hadithi za uwongo na mashairi

Kitabu changu quran

Hivi kweli ktk karne hii unaweza kutetea hoja kwa kutumia quran?

Kitabu hakieleweki kama kunaenda mbele au kinarudi nyuma kimejaa stori za kubuni kama riwaya ya kusadikika halafu ndio mtu huyu anatumia muongozo wake

Atakuchocha akili tu "WAIDHAA KHATWABA HUMUL JAHILUUNA QALUUU SALAMA" Al-furqan 63
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nimependa avatar yako huyo mwamba anaitwa Nikola Tesla
 
Wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya kwa kiswahili,subconscious mind,conscious,uncounscios tafadhali mwenye kufaham anieleweshe huwa nakutana nayo sana kwenye mada kama hizi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu nisaidie maana hapo juu [emoji115] nipo kwenye kujifunza hizi mambo ila hayo maneno hata ukienda kwenye dictionary hayaeleweki
 
Mkuu nisaidie maana hapo juu [emoji115] nipo kwenye kujifunza hizi mambo ila hayo maneno hata ukienda kwenye dictionary hayaeleweki
mkuu..lengo lako ni kuelewa kwa kiswahili au ....?

Ukifuatilia kwa kiswahili utapata shida sana kuelewa mambo...

kumbuka kadri unavyoingia ndani zaidi kuna maneno magumu sana ambayo bado hayajaingizwa kwenye kamusi ya kiswahili...

Kumbuka linguistic bado haijawa na part kubwa sana hasa kutohoa maneno ya kisayansi kuyaleta kwenye local languages....

Mi nikuombe tu kama upo serius na haya mambo weka kiswahili pembene kwani ukiyasoma kwa lugha yake huwa yanaeleweka zadi..

Hivi kwa mfano ukianza kutafsiri DARK ENERGY ambalo ni neno la kifizikia halafu ulilete kwenye kiswahili sijui ndo utasema NGUVU ILIYOPO GIZANI [emoji4] sasahilo giza mtu hawezi elewa ila linamanisha ni nguvi iliyojificha ila ikishajulikana haitaitwa tena Dark energy.. [emoji3] [emoji3] [emoji4] ,utashindwa kuelewa maana ya kitu kinachoeleweshwa make kipo kimolecular zaidi...
 
Sawa nimekuelewa, hata ukinielezea tu kwamifano itakuwa vizur nimeligundua hilo kwenye google translate hicho kiswahili ndo kinapoteza kabisa hakieleweki asante sana.
 
Sawa nimekuelewa, hata ukinielezea tu kwamifano itakuwa vizur nimeligundua hilo kwenye google translate hicho kiswahili ndo kinapoteza kabisa hakieleweki asante sana.
Nimeshajua maana ya neno subconscious mind asanteni.ni vizur ujifunze mwenyewe hailezeki hasa kwa lugha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…