Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

Sisi si tulifanywa clonng kwa ajili ya uchimbaji wa madini na anunaki/watchers/angel/aliens.....


enki ndiye aliekuwa master plan mkuu na enlil ndie aliekua mpingaji mkuu baada ya kazi kuwa binadamu walipokwisha kuwafanyia kazi zao za kuchimba madini kwa ajili ya mahitaji yao huko mbali walipotoka baasi watumalize wote,enki alibakisha binadamu kadhaa kabla ya kusambaratisha dunia maana dunia kwao ilikuwa hivi...

A.DAM-mnyama
EDEN-mbuga ama hifafhi ya wanyama ..

NITAENDEAGA NIKITULIA...
 
Asee,naomba utulie uendelee
 
Nimepata kitu japo kidogo
 
Samahani naomba unifahamishe. YEHOVA ni lugha ya wapi? Kama hautojali naomba uichambue ili nipate kuelewa.
Dunia na wote wakaao Ni Mali ya MUNGU YEHOVA

lakini mungu wa mfumo huu wa Mambo NI ibilisi
Kama hujanielewa usisite kuniuliza
 
According to the holly Bible.... Katika Zaburi 24 fungu la kwanza anasema... nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA,Dunia na wote wakaao ndani yake
Pia katika Ayubu 41:11 and more other...
 
CERN wapo ili kuiharibu dunia nasi kuendeleza dunia kwa manufaa ya kakikundi flani, waulize hata leo hao CERN Nini chanzo hasa Cha #UFO vyombo visadikikavyo vinatoka sayari za mbali #Hawana majibu lakini kila siku vyombo vyao voyager 1 na Voyager 2 wanatuonyesha vimeshafika( Intersteller ) yaani zaidi kilometa billioni 11 kutoka ktk mfumo wetu wa jua, lakini hivi vyombo UFO hawavioni huko Sasa sijui vinapita wapi, lakini vumbuzi za masayari kila siku wanatuonyesha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
apana, ila kuna tofautinkati ya dunia na ulimwengu, Anaemiliku ulimwngu means anamiliki hadi fikira za waishio ulimwnguni na luxury zote huyo ndo shetani, na Mungu wa Dunia ni nsio uyo tunaemwita Yehova, yeye ni Muumbaji na ndo mtoa uhai
Mh! Kwahyo unataka kusema YEHOVA maana yake n ibilisi au...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua kwa hakika ninini kinafanya hivi vitu vifanye kazi utapata jibu
Mashine ifanye kazi
Gari itembee
Computer ikupe utakacho
Uweze kupost JF
Energy right???

am better here
 
this issue its too complicated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…