Nani hasa doctor wa jf?

Nani hasa doctor wa jf?

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,781
Reaction score
357
Maana majibu yanayotoka kwa madoctor wa wf ni balaa kibaya kila doctor na jibu lake. Jamani hili jukwaa muhim sana tofauti na MMU.
 
Hata ww unaweza ukawa Doctor hapa jf.Wengine wamepona kupitia jf.Na haohao ndo wanakuwa ma Doctor wa wagonjwa wengine wanaopitia jukwaa hili kujua tiba.
Hii hai hitaji elimu ya chuo kikuu kujua akina nani ni ma-Doctor haswa wa humu jf.
 
Back
Top Bottom