K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 357 Jul 22, 2013 #1 Maana majibu yanayotoka kwa madoctor wa wf ni balaa kibaya kila doctor na jibu lake. Jamani hili jukwaa muhim sana tofauti na MMU.
Maana majibu yanayotoka kwa madoctor wa wf ni balaa kibaya kila doctor na jibu lake. Jamani hili jukwaa muhim sana tofauti na MMU.
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,199 Reaction score 2,859 Jul 22, 2013 #2 Hata ww unaweza ukawa Doctor hapa jf.Wengine wamepona kupitia jf.Na haohao ndo wanakuwa ma Doctor wa wagonjwa wengine wanaopitia jukwaa hili kujua tiba. Hii hai hitaji elimu ya chuo kikuu kujua akina nani ni ma-Doctor haswa wa humu jf.
Hata ww unaweza ukawa Doctor hapa jf.Wengine wamepona kupitia jf.Na haohao ndo wanakuwa ma Doctor wa wagonjwa wengine wanaopitia jukwaa hili kujua tiba. Hii hai hitaji elimu ya chuo kikuu kujua akina nani ni ma-Doctor haswa wa humu jf.
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Jul 22, 2013 #3 hapa sio hospitali ndugu hakuna dokta alieajiriwa kwa ajili ya kutibu watu ila tu tunabadilishana mawazo,uzoefu na kupeana ushauri wa kitabibu
hapa sio hospitali ndugu hakuna dokta alieajiriwa kwa ajili ya kutibu watu ila tu tunabadilishana mawazo,uzoefu na kupeana ushauri wa kitabibu
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Jul 22, 2013 #4 madaktari wako wengi ila namba moja mzizimkavu
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Jul 22, 2013 #5 mwigulu nchemba..
Chemiker JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 506 Reaction score 108 Jul 22, 2013 #6 kakuku said: mwigulu nchemba.. Click to expand... kakuku what is that?
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 357 Jul 22, 2013 Thread starter #7 kakuku said: mwigulu nchemba.. Click to expand... Huyo ni doctor wa mabumu jamani.
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Jul 22, 2013 #8 Riwa pia nyupo
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Jul 22, 2013 #9 MZIZI MKAVU ndo kila ki2 kwenye hili jukwaa