jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Oct 14, 2016 #1 Kipindi cha uanafunzi ,kutoa mimba au kushiriki kutoa mimba ndio kumekithiri , Nani ambae hajawai fanya hiki kitendo?, A-level ndio wengi wanachomoa ujauzito zao,pamoja na chuoni baadhi yao.
Kipindi cha uanafunzi ,kutoa mimba au kushiriki kutoa mimba ndio kumekithiri , Nani ambae hajawai fanya hiki kitendo?, A-level ndio wengi wanachomoa ujauzito zao,pamoja na chuoni baadhi yao.
mogulnoise JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 2,435 Reaction score 5,541 Oct 14, 2016 #2 We umshiriki kutoa ngapi tuanzie kwako ili tupate idadi sahihi?
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Oct 14, 2016 Thread starter #3 Nilitoa ushauri kwa watu wawili
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Oct 14, 2016 #4 WANADHAMBI SANA WANAWAKE WATOA MIMBA
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Oct 14, 2016 #5 Namshukuru Mungu wangu katika dhambi zote hii nimeishinda!!
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Oct 16, 2016 Thread starter #6 rubii said: Namshukuru Mungu wangu katika dhambi zote hii nimeishinda!! Click to expand... Hongera mamiii
rubii said: Namshukuru Mungu wangu katika dhambi zote hii nimeishinda!! Click to expand... Hongera mamiii