Pre GE2025 Nani huamua chama kitoe fomu moja ya mgombea wa Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Afcon 2027

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
309
Reaction score
579
Habari wanajamvi,

Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
 
Vipo vyama vina utaratibu wake wa ndani wa kuchapisha fomu moja tuu ya urais na kuitoa kwa mgombea mmoja tuu.

Kwa upande wa CCM, unaitwa mserereko
P
 
Habari wanajamvi,

Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
Kwa chadema ni Mzee mtei.
 
Back
Top Bottom