Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 648
- 1,121
So mwenyekiti ana authority hiyo???Mbowe alibadili Gia Angani akatoa Fomu Moja kwa Lowasa
Haipo kikatibaSo mwenyekiti ana authority hiyo???
Vipo vyama vina utaratibu wake wa ndani wa kuchapisha fomu moja tuu ya urais na kuitoa kwa mgombea mmoja tuu.Habari wanajamvi,
Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
Kwa chadema ni Mzee mtei.Habari wanajamvi,
Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
Kwa CCM imekaaje???Vipo vyama vina utaratibu wake wa ndani wa kuchapisha fomu moja tuu ya urais na kuitoa kwa mgombea mmoja tuu.
Kwa upande wa CCM, unaitwa mserereko
P