nani hupenda zaidi kati ya Mke/me au msichana/mvulana??

nani hupenda zaidi kati ya Mke/me au msichana/mvulana??

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?
 
Jambo hili bana kwa mtizamo wangu linategemeana na hali iliyopo, and its less formal!

Kuna wanaume wengine wanapenda hadi wanamwaga chozi!
Kuna wengine wanapenda hadi wanahonga 70,000/= kwa wiki(kwa kimada, hiyo ni bajeti ya nywele pekee)!
Kuna wanaume wengine wanaenda extreme kwa kujitundika!
Wanaume wengine wanatoa magari na nyumba!
Wengine wanaenda kutong##oza kwa mashati na magari ya kuazima!
Wengine ndo kama hivyo, tunaenda na kwa miguu yetu!

Hali kadhalika wanawake wanapenda bana!

Mimi mwenyewe nilipata kupendwa na msichana (naamini hivyo), hadi nilipohamishwa kikazi mkoa mwingine naye akaamua kwenda kwa ndugu yake mkoa huohuo nilioenda (na hakuwa mke wangu, na sikuwa na kipato kikubwa)!

Kwahiyo suala la kupenda ni complicated na linafuatana na mazingira.
Japo kupenda kwa siku hizi kumeingiliwa sana na mambo ya fedha na vitu vizurivizuri.
 
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?
wewe wapenda mumeo? je mumeo anakupenda?
 
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?

Kupenda ni hulka binafsi. Haihusiani kwa vyoyote na umri au jinsia. Kuna watu wanajua kupenda and that's just the way it is.
 
Kupenda ni hulka binafsi. Haihusiani kwa vyoyote na umri au jinsia. Kuna watu wanajua kupenda and that's just the way it is.

Naam MwanaFalsafa1 kuna watu wanajua kupenda na wapo pia wanajua wanapokuwa wamependwa.
 
kupenda hakuna kanuni,hakuna cha mvulana wala msichana,mke wala mume!
we ukishapata mtu unaemfeel,UTAPENDA TU!UTAKE USITAKE
 
I do no what the heck is dis! Hii si issue binafsi kadri m2 anavyofeel ndani yake.
 
Huwezi kupima kwa kipimo kama cha tetemeko Richter..kipimajoto/thermometer..au cha mvua Raingauge..ujue kuwa kati ya mwanaume na mwanamke nani hupenda zaidi.
Kuna watu wanajua kupenda sana na kupendwa vilevile.Kuna watu hawajui kabisa kupendwa japo wanapendwa kupindukia.Mwisho wa siku ni chemistry baina ya watu wawili wapendanao.
 
Back
Top Bottom