Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?
wewe wapenda mumeo? je mumeo anakupenda?Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?
wewe wapenda mumeo? je mumeo anakupenda?
typical umbea at work..sasa akikujibu ndio wafaidikani? mwe!
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini mnapenda kudanganywa?
Kupenda ni hulka binafsi. Haihusiani kwa vyoyote na umri au jinsia. Kuna watu wanajua kupenda and that's just the way it is.