Nani huwa anachagua mwenyekiti wa bodi katika shule za serikali?

Wajumbe wa bodi hupendekezwa na mkuu wa shule Kisha kuteuliwa na mkuu wa mkoa.

Mwenyekiti wa bodi hupigiwa kura na wajumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…