Nani huyu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

Nani huyu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

Bonnie1974

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Posts
407
Reaction score
17
Ni Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Ni Jumbe aliyewezesha introduction ya mfumo wa BUNGE la Zanzibar yaani Baraza la Wawakilishi.

Ni Jumbe aliyewezesha kuwepo mfumo wa MAHAKAMA nchini Zanzibar.

Ni Jumbe aliyetuletea mfumo sahihi wa SERIKALI,kwani hapo awali nchi ilikuwa inaongozwa na Baraza la Mapinduzi.

KIMSINGI NDIYE ALIYETUWEKEA ALL 3 BRANCHES OF THE STATE AS FAR AS ZANZIBAR IS CONCERNED.

TUNAKUSHUKURU KWA HAYO MACHACHE KATI YA MENGI ULIOTUFANYIA.

ASANTE MZEE.
 
Mungu ampe kila nema zote hapa duniyani na hukotuendapo pia itakuwa ni vizuri wandishi kumuliza maswali yake kabla hajaondoka ili wasije wakamzulia watu kama hao wapo wanasubiri nafasi hiyo ya uzushi
 
Mungu ampe kila nema zote hapa duniyani na hukotuendapo pia itakuwa ni vizuri wandishi kumuliza maswali yake kabla hajaondoka ili wasije wakamzulia watu kama hao wapo wanasubiri nafasi hiyo ya uzushi

Haya nuliza wale mahaini aliwaulia wapi na makaburi yao yapo wapi tunajua Karume alipo uliwa mahaini walikuwepo ndani tena tunawajua kwa maji sasa yeye atuambie tu ili angalau tukapige FATHA.
 
Back
Top Bottom