Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Kumchukia mtu au kuchukia Avatar..??
Nadhani ingekaa poa sana kama ungesema " Avatar gani unaichukia hapa Jf" ?
Ata mi nimeshangaa,mana mtu humjui how do you hate him/her au ndo mambo ya ule mlango wa sita wa fahamu "Telepath".nimeona ni ka story ya sadiki na chitemo!!!!better wewe umekuwa practical zaidi mkuu,big up

Good Neighbour
 
Me nafikiri jaribu kubadili betri ya gari lako. Maana wasichana sikuhizi wanapenda sana vipuri vya magari kabla hawajapika. Pia ni vyema kufanya ibada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…