Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Nampenda miss chagga na bold,miss chaga yupo open na really ..wakati bold ni mtu makini...ila uwaga simchukii ila simuelewi ontario manake yeye wenzake wakiandika uzi wa kuomba ushauri yeye ana attack kwann wameleta uzi humu wakati jukwaa hili ni id fake mwendo wa kupeana ushauri, mbaya zaid kila akiandika comment ana target ya kupata likes za wanawake kawa fake kuanzia id hadi tabia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…