Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Mi' napenda sana uandishi wa Pascal Mayala. Hata akiandika nisiyoyapenda, huwa sichoki kusoma!
Mwingine, Le Mutuz. Kinachonifurahisha kwa huyu mtu, ni ile michango ya watu wengine. Badala ya kuijadili hoja yake, watu wanahama na kumjadili yeye! Kwangu hiyo, ni burudani kweli!
Wanichukizao, ni wale wa BUKU SABA WOOOOOTE!
 
No way out,mtu ambae anaamka na kupishana na mwanaume mwingine ambae unajua wazi kabisa katoka kumkaza mke wake wa ndoa unadhani utafanya nini than kumsamehe Ili apambane na hali yake?? I let things slide away
Surely.Leo nimekuona threads nyingi,you coloured the day

Good Neighbour
 
Le mbembezzz anakujibu kwa kuweka picha akiwa na totozz, pia ananifurahishaga pale
 
Sina sababu ya kumchukia nisiye mfaham.
 
Sina sababu ya kumchukia mtu humu ndani.... Ukinitukana nakupotezea tuu mradi hunipunguzii riziki... Siku zaenda bwana
 
Mie siwachukii ila huwa nawadharau wale wote wasioweza kupingana kwa hoja zenye mashiko na kukimbilia matusi kama sehemu yao ya kufikisha ujumbe kwa hadhira, wapuuzi sana watu wa namna hiyo. Ila ni vema kuwapuuza ili wabaki na ujinga wao [emoji57]
 
Now i clearly understand why umejiita Neybright

Good Neighbour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…