Nani Kachora.........?

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji mzuri ule moyo ukaonekana ovyo tu.
Kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini?
Mwanafunzi 1.... makalio
Mwanafunzi 2..... umechora makalio mwalimu.
mwanafunzi 3. hayo ni makalio kabisa

Mwalimu kwa hasira akaenda kumuita mkuu wa shule kwa madai ya wanafunzi kufanya mzaha darasani.

Mkuu Wa Shule; kwa nini mnamfanyia mwalimu mzaha?
Wanafunzi; hatujafanya mzaha.

Mkuu wa Shule: Kama hamfanyi mzaha nani kachora makalio ubaoni?
 
Hahahaha nimecheka sana mwalimu ndo kachora

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hahahahahahahaha, mmhh mwenzangu kama wewe siyo mchoraji mzuri wa moyo unaweza kuaibika. Mi nilipata shida sana kuchora moyo o level
 
hahahaaaa bwabwabwaaaaa kwikwikwiiii cpati picha ticha alivyogeuza maneno
 
mmmh hapo sasa nazani ataenda kushtaki kwa mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…