Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei?
Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu wazitangaze kwa bei hiyo nadhani zingeshaisha.
Kumekuwa pia na wakosoaji wakisema hilo jambo halina uhalisia kama wanavyotangaza.
Naomba mwenye ushuhuda wa mtu aliyefanikiwa kununua hizo nyumba kwa huyo bwana.
========