Nyumba milioni 10!, hiyo itakuwa ya matete na mianzi, mbavu za mbwa!Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei?
Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu wazitangaze kwa bei hiyo nadhani zingeshaisha.
Kumekuwa pia na wakosoaji wakisema hilo jambo halina uhalisia kama wanavyotangaza.
Naomba mwenye ushuhuda wa mtu aliyefanikiwa kununua hizo nyumba kwa huyo bwana.
========
View attachment 2829462
Acha kupotosha,Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei?
Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu wazitangaze kwa bei hiyo nadhani zingeshaisha.
Kumekuwa pia na wakosoaji wakisema hilo jambo halina uhalisia kama wanavyotangaza.
Naomba mwenye ushuhuda wa mtu aliyefanikiwa kununua hizo nyumba kwa huyo bwana.
========
View attachment 2829462
Mbona wametangaza sana ni mil 10Acha kupotosha,
Umesikiliza tangazo lote?
Wamesema nyumba ni USD 57,000 (TZS 130,000,000), we hiyo 10mil kakuambia nani?
Mbona wametangaza sana ni mil 10
Mbona wametangaza sana ni mil 10
Asante kunielewesha,nyumba ya vyumba 2 ni mil 130?
Amkeni Sasa KumekuchaAsante kunielewesha,nyumba ya vyumba 2 ni mil 130?
Ukilipa 10 unahamia auYani jamaa anafanya mtindo waliozoea wenzetu huko mbele unalipa kwa down payment, ila sasa yeye anachokosea ni kutangaza hiyo bei ya kuanzia tu hasemi kwamba utaendelea kulipa kidogo kidogo anajua mtajiongeza, maana zile decors tu ukiziangalia ni zaidi ya hiyo 10M na nasikia gharama halisi ya nyumba ni kama 120M
Nawafahamu Hamidu City.Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei?
Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu wazitangaze kwa bei hiyo nadhani zingeshaisha.
Kumekuwa pia na wakosoaji wakisema hilo jambo halina uhalisia kama wanavyotangaza.
Naomba mwenye ushuhuda wa mtu aliyefanikiwa kununua hizo nyumba kwa huyo bwana.
========
View attachment 2829462
Utapeli upi?Ni mradi wa kitapeli