Nani kafumaniwa

Kijana wangu, hayo maswali yana majibu. Jibu lake ni moja tu. MUACHE. Kamata ufunguo wako, habari ya shule atalipiwa na 'kaka zake'...nadhani umenisoma hapo.
yap ni ana makaka ? waache makaka zake wamsomeshe. hyo misaada peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza.
 
du kwanza kaongo,pili ndo katabia kake...alikuaga analala ili afanye anayofanya ila sasa ongea ongea nae fanya maamuzi sahihi etiiii..
 
Pole sana kwa kupata bahati mbaya ya kumpenda msichana kama huyo. Kwanza nenda kapime kama uko salama. Pili mm nakushangaa ww coz umeona mwenyewe na hujaambiwa na mtu, sasa unataka nini tena??wanaokuambia atabadilika wanakudanganya, chukua maamuzi sahihi kwa maisha yako ya sasa na baadae. Angalia ucje juta bureee.. In summary huyo hakufai,achana naye, ni bora kuwa mwenyewe kuliko kuwa na malaya!!!
 
mwanamke huyo sio waminifu wala sio wa aina yako, nakushauri mwache kwani mwisho wake atakuabukza ukimwi au kukuua. kama ni
kaka zake alishindwa nini kukuaga, ili ujue anaenda wapi.


pili kaka gani anavaliwa nusu uchi na kupigana mabusu acha ujinga achana naye, tafuta mtu mwingine . una uhakika gani siku hiyo wenzio hawakuzini naye? tumia akili vizuri, angekuwa mke wako ningekushauri tofauti
 
mwanamke huyo sio mwaminifu wala sio wa aina yako, nakushauri mwache kwani mwisho wake atakuambukiza ukimwi au kukuua. kama ni
kaka zake alishindwa nini kukuaga, ili ujue anaenda wapi na anaenda kufanya nn?.je huoni haya?


pili kaka gani anavaliwa nusu uchi na kupigana mabusu acha ujinga achana naye, tafuta mtu mwingine . una uhakika gani siku hiyo wenzio hawakuzini naye? tumia akili vizuri, angekuwa mke wako ningekushauri tofauti
 
Samehe mara sabini msonge mbele na maisha. Ukiamua kumuacha utaacha wangapi?

Mkuu kwa situation hiyo hata Laki nitawamwaga tu, No Offense!

Kufanya kosa si kosa.. kosa ni kurudia kosa. msamehe!

Kuna makosa ukifanya mara moja inakuwa ni sawa na kurudia kosa, hapo ingekuwa mimi muda ule ule anamwagwa, No nini wala nani..!!!
 
Labda anapenda kwenda klabu na we hupendi.........ndo maana akajiendea mwenyewe!!!
kama ndo hvyo si angesema ukweli kama anakwenda club kwa nini alidanganya?
 
Mi naelewa unajua kitu sahihi cha kufanya kwa mazingira uliyoyashuhudia ila unatafuta justification kutoka kwa watu wengine. Kwa kutumia akili unaona huwezi kuendelea nae ila moyo unasema kinyume chake! Tena ukiwaza na gharama ulizokuwa unaingia labda na najua utakuwa ushamtambulisha kwa ndugu pia, so aibu flani hivi labda!! Hapo ndo unakuja ugumu katika kufanya maamuzi!
Kwangu mimi,matukio mengi yanayokuumiza kichwa kwa sasa ni ya ku'extrapolate tu, na hakuna mwenye uhakika,kama ni kaka zake au 'kaka zake'?! (japo naelewa katika level uliyofikia ya kulipia nyumba na kumsomesha ungepaswa kuwafahamu na hao makaka kama ni wa ukweli) hatujui kama walilala wote siku hiyo au ndo kawaida yao kuwa wote!? kwa sasa utakuwa unawaza hata zile siku nyingine alizokuaga hata kama hakufanya lolote baya na unazihusianisha na hao 'kaka zake' halafu inakuuma zaidi!!
Kitu kimoja tu ni cha kweli na tuna uhakika kabisa,nacho ni amekudanganya, alikupa gud naiti halafu akaenda club! hiyo ni mbaya kwa sababu kwa sasa hutakuwa na uhakika na lolote analolisema hivyo utashindwa kumuamini. Na ukishashindwa kumuamini mtu kabla hata hujamuoa, basi amepoteza kigezo muhimu cha kuwa wife material.
 
Hivi wewe jamaa yangu umgeni na watoto wa kike ? Isitoshe we ni msomi inakuwaje unaamua kumfadhili mtu usiye mjuwa. Hata hivyo miaka hii huwezi kumiliki mtoto mzuri peke yako.
 
Suala la kusomesha ilo mkuu hapo nina mashaka sana. Kwanini ujibebeshe mzigo wakati wapo wengine wana elimu zao ila hawana wenza wao?

Tafakari na chukua hatua.
 
The clue iko hapa:


Kwa vile yeye hakukuona; msamehe maana angejua hiyo simu iliyokufanya uache kuwa na yeye na kurudi "ofisini" mngejua the two of you are made for each other. Mtayashinda tu.
 
1. Si vema kumfuatiliafuatlia mwanamke nyendo zake hata kama unamgharamia.
2. Endelea kumlipia karo na chumba .
3.Wazo la kumuacha au la hilo hashauriwi mtu,ulipomtongoza hukutuuliza.

kwa kuongezea:
rejea mada ya Smile hapa

https://www.jamiiforums.com/jf-chit...-yake-mbarikiwe-sana-wanaume.html#post3013117


SASA WEWE UKO WAPI KATIKA HAO? HASIRA NA KIWEWE CHA NINI?
KAMA VP CHOMOA KIMYA KIMYA.
 
Wanawake bana!Huyo nakushauri usiendelee nae hafai,kuhusu karo na kodi ya nyumba unaweza kumlipia kwa sababu ni binadamu na si sababu ni mpenzi wako!Ndo maana mnashauriwa mkiwa mnafanya mambo myafanye kama wanadam tu ili kuepusha kuwa mwehu baadae!
 

Mi nadhan mpaka sasa jibu unalo! Hvyo uwazavyo upo sahih kabsaaa! Pppga chinii....!
 
ikiwa ameanza kukudanganya wakati huu je mkimuoa unadhani ataacha tabia hiyo? huyo ni changudo Mungu kaamua kuonesha ili asije akakuletea maradhi bure ,. huyo anakutumia kama wasichana wa chuo kikuu ambao nasikia wengi wao wana wanaume hadi watano wenye mgawanyo ufuatao.

1. mwanaume mmoja kwa ajili ya vocha;
2. mwanaume wa pili kwa ajili ya nguo;
3. mwnaume wa tatu kwa ajili ya masomo hususani huwa mwenye uwezo mzuri darasani ili awe anamfundihsa na kumsaidia kujibu mtihani anaposhindwa;
4. mwanaume wa nne kwa ajili ya kumtoa out- kama huyo uliyemkuta na demu wako;
5. mwanaume wa tano ni yule anyempenda kwa dhati; anayejisikia kuwa naye

hivyo wewe na wenzake wanne mnapangiwa ratiba ya kuonana naye

Nakushauri achana naye , mwombe Mungu atakupa Mtu mwaminifu asiyenia makuu



kila la heri
 
hhahaaaaa huyo anaenda kifaida zaid...inakula kwako
 

Mkuu hapa ndo wanaume wengi tunakosea. Never invest too much in a woman who is not your wife unless u have

enough cash and u r doing that kama sadaka. Matokeo yake ni kuwa kama ukikuacha hauumii kuwa umepoteza penzi bali

what u had invested. Sidhani kama anakufaa maana amedhihirisha hakupendi live!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…