Nani kakudanganya kuwa kuajiriwa ni utumwa?

Kuna ofisi moja ya halmashauri, Jamaa Mhqsibu anaambiwa na Mkurugenzi umekaa unakuza Mat*ko na Tumbo tu kazi hufanyi. Afu mbele za watu na jamaa ni mtu mzima Over 35. Huu ndo utumwa wenyewe, Otherwise hayajakukuta na scenarios za mateso ajirani ni nyingi sana.
 
Bosi anajiona mtoto wa mungu
 
Mtoa mada ametoa uzi ambao ni Ironic. Ni vile tu baadhi hamjamuelewa. Uzi mzima unaonesha jinsi gani kuajiriwa ilivyo utumwa.
 
Najua nawachanganya watu. Unajua kwa nini? Mtume Paulo anasema, nilipokua mtoto nalinena kama mtoto, sasa nimekua nimeacha utoto.(1KOR 13:11) Kuna utoto wa aina nyingi, ukiwemo utoto wa kiuchum
Nimeishia hapa,,,,,
Kujiajirii ndio kuna mafanikio na uhuru zaid,,,, hasa mambo yakikubaliii
 
Haha....uko sahihi.
 
Kujiajiri ni kwa ajili ya ma Great thinkers na ma Great doer tu sasa we rogwa uache kazi na akili zako robo uone huku mtaani kama parahisi
 
Hapa kuna ujumbe mzuri kwa wanaoponda wale walioajiriwa na mwisho wa siku tunategemeana kwa walioajiriwa na waliojiajiri ili maisha yaende.
 
Watu wakuthubutu na great thinkers ndo wanaweza kujiajiri na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…