Nani kama Kikwete??

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..jamani hii habari ndiyo imenithibitishia kwamba Raisi wetu hayuko serious hata kidogo.

..Raisi anakabidhiwa ripoti ya suala zito kama madini halafu anatumbukia kwenye stori za MPIRA.

..hii ripoti ilishamfikia Raisi kwa hiyo ungetegemea huo ungekuwa muda mzuri wa kuuliza na kuijadili kwa kina ripoti akiwa na wajumbe.

..kwa kweli Kikwete tutamkumbuka kwa SAFARI na MPIRA WA MIGUU.

..Prof.Lipumba hakukosea kwamba Kikwete angefaa sana kuwa Waziri wa Michezo.

 
asilimia 95% ya watz ni wapenzi wa soka, na JK kuipongeza SBL sio tatizo pale anapopata wasaa wa kufanya hivyo.

Hapa JF jaribu kupita kwenye ukumbi wa michezo na uone soka ina nafasi gani...
 
asilimia 95% ya watz ni wapenzi wa soka, na JK kuipongeza SBL sio tatizo pale anapopata wasaa wa kufanya hivyo.

Hapa JF jaribu kupita kwenye ukumbi wa michezo na uone soka ina nafasi gani...

Nani kakuambia kuwa 95% ya watanzania wanapenda soka. Fanya uchunguzi vizuri. Halafu soka la watu ambao hawafundishiki.

Yaani kweli na wewe unamuunga mkono JK kwa kutokuongea mambo yatakayoinua uchumi wa nchi anaongelea ile timu yake na Maximo
 
Ina maana JK aliongea haya katika tukio lile la kupewa report ama ilikuwa ni muda tofauti na tukio hili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…