Nani kama mama ni dedication kwa Sitti Mtemvu

Nani kama mama ni dedication kwa Sitti Mtemvu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Inasemekana mtoto wa Bibi bomba,alienda kumuomba C.Bella atunge wimbo maalumu kwa ajili ya mama ake mzazi ambaye ni siti mtemvu.

Kwa mujibu wa Le mutuz wa Starlet,mtoto wa siti yupo morogoro
 
Hivi huyo dada hilo taji linampa faida gani?Si avue tu kuliko kuendelea kudhalilishwa?
 
siti vua taji kagombee uenyekiti serikali za mtaa;baba mbunge,mama diwani,mtoto mwenyekiti.
 
SITTI anamoyo mgumu kama wa kaseja juma
 
Matokeo ya darasa ya saba ya mtoto wake yameshatoka na ameongoza kipengele cha sayansi kimu kwenye somo la maarifa.
 
Ivi RITA bado hawajapata ukwel kuwa bi mdanga alizaliwa lini?
Au mlungula ushatembea tena
 
Bora kukosa miss...
Kuliko kuwa na mirs bibi...!
 

Attachments

  • meme_1414139455612.jpg
    meme_1414139455612.jpg
    18.3 KB · Views: 664
ana roho ya paka huyu dada lllooh!!!
rudisha taji sitti...rudishaaa
 
Bora kavua nimepoa sasa loh siti subiri mashindano ya bibi bomba kwa babu wa kitaa mwaya naona taji unalipenda na unalitaka haswaa
 
Back
Top Bottom