Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Hivi huyo dada hilo taji linampa faida gani?Si avue tu kuliko kuendelea kudhalilishwa?
Hivi huyo dada hilo taji linampa faida gani?Si avue tu kuliko kuendelea kudhalilishwa?
Matokeo ya darasa ya saba ya mtoto wake yameshatoka na ameongoza kipengele cha sayansi kimu kwenye somo la maarifa.
Mbishi sasaJamn hurumaaaaa
ana roho ya paka huyu dada lllooh!!!
rudisha taji sitti...rudishaaa
Tayari kavuasiti vua taji kagombee uenyekiti serikali za mtaa;baba mbunge,mama diwani,mtoto mwenyekiti.