Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana wa Mungu, hamna kama mama kama ambavyo hamna kama baba.
Usisikitike mkuu........mama anautamu wake wa pekee...kuna thread mwaka jana nilivyoeleza jinsi nilivyotaka kumuua mjomba aliemoiga mama mbele yangu!! nilikomesha mno!
sijakuelewa! na wale wamama wanaotelekeza watoto wao je, wale wanaowatupa jalalani vichanga?, nafikiri baba na mama wote ni sawa. mimi nawapenda wote sawasawa. by the way, sijakuelewa hapo uliposema ulitaka kumwua mjomba yako alipokuwa anataka kufanya nini?..angalia bold nyekundu....hata huyo mwana wa mungu nafikiri hajakuelewa. i don't know.
Oooh, sorry mkuu! sahihi ni aliempiga mama yangu...rejea thead ile "SIKU NILIYOTAKA KUMUUA MJOMBA WANGU" search hata kwenye google utaiona...
Naamini hapo utanielewa mheshimiwa.... mzazi ni mzazi tujifunze kusamehe saba mara sabini!
Ni mjomba nili mtandika, sio baba. Baba alifurahi sana mkuu.....ngoja nikuibulie hiyo habari sasa hivi utaisoma mwenyewe..."Nilivyotaka kumuua mjomba wangu"...hata anayempiga baba pia ninaweza nikamtandika, au? ni mama peke yake? dingi alikufanya nini mkuu hadi ukamshusha thamani hivyo?
nani kama mama? baba! naye ni wamuhimu sana. ila hii siku mimi inanifanya nimkumbuke mama yangu kwasababu sijamuona kwa miaka kama miwili na nusu hivi. na sina nafasi ya kumwona ka kitambo baadaye, so nafikiri bora niende thread zingine tu hapa nisijetoa mchozi mimi hapa.
sijakuelewa! na wale wamama wanaotelekeza watoto wao je, wale wanaowatupa jalalani vichanga?, nafikiri baba na mama wote ni sawa. mimi nawapenda wote sawasawa. by the way, sijakuelewa hapo uliposema ulitaka kumwua mjomba yako alipokuwa anataka kufanya nini?..angalia bold nyekundu....hata huyo mwana wa mungu nafikiri hajakuelewa. i don't know.[/QUOTE
kuna wababa pia wanawapa mimba wasichana mahousegirl na kuwatelekeza,na kuna ambao wakipata nyumba ndogo hutelekeza familia zao pamoja na watoto....
inategemea unatokea familia ya namna gani,kama umekulia ktk familia yenye upendo wa wazazi wote wawili utakuja kusema hapa baba na mama wote sawa,ila kama ni mzazi ameku raise singly handed,lazima utasema nani kama mama au nani kama baba kama mwana wa mungu!
mie nabaki na nani kama MAMA?? sio tu kwa vile mama amenilea peke yake...bali ni kwa vile naona jinsi african mothers wanavyojisacrifice kila siku!kuna wababa ukiongea nao hawajawahi hata kumbadilisha mtoto nepi!!!!wouldnt you apreciate the woman,who despite kuwa na kazi nyengine kibao zinazomkabili km kilimo,she also make sure you are fed,changed...etc...........NANI KM MAMA JAMANI?
Dah!!!
Picha hii inanifanya nimkumbuka mama yangu mzazi alipo kuwa anambeba mdogo wangu........ Dah!! it is very nice..
Happy mama day too.
Hebu check mama anavyo mcheki mtoto wake....... yaani huitaji kujiuliza kama anampenda au la! The picture itself can tell a hundreds of words.
I real like it.
Thank you Roselyne1