Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Aisee Elimu wanayopewa watoto wetu haiwasaidiii hata kidogo
Angalia picha kwenye comment!! Zinagoma kuingia kwenye uziKijana yupi ? weka picha na maelezo ya kutosha.
Yeah dogo kawachokoza wanafunzi wenzake huko chuo waliokuwa wana mtambia kuwa na GPA kubwa ndio kuweza kununua gari .Angalia picha kwenye comment!! Zinagoma kuingia kwenye uzi
Si bure atakuwa mhaya!Yeah dogo kawachokoza wanafunzi wenzake huko chuo waliokuwa wana mtambia kuwa na GPA kubwa ndio kuweza kununua gari .
Masifa hayana kabila, sema kitu wasichoweza wahaya ni kuvunga tu.Si bure atakuwa mhaya!
Hii kitu nilijifunza niliishia kuliwa sarafu zangu na wadada wa Canada tubwana mdogo huyo ni forex trader, anaitwa Eugene Lwala
hiyo picha nahisi imeghushiwa
View attachment 3224975
Pesa kila kituHahaha ana sifa sana na GPA yake ya 2.5
watajua wenyewe wadauHii kitu nilijifunza niliishia kuliwa sarafu zangu na wadada wa Canada tu
Sawa ila hiyo GPA siyo ya kujisifu nayoPesa kila kitu
Mkuu hii kitu nilikua naisoma nakuweka juhudi nimeishia kuliwa pesa zangu tu.watajua wenyewe wadau
mimi nikishasikia forex najua tu hapa maneno yatakuwa mengi