Nani kamchokoza huyu Kijana??

Aisee Elimu wanayopewa watoto wetu haiwasaidiii hata kidogo

View attachment 3224949

Technologia inaenda kwa kasi sana (wanaita AI)
Usiamini kila picha unayo ona, zingine zina editiwa na kuwekwa manjonjo mteja anayotaka.
Sasa hivi hata ukiona mtu maarufu anaongea vitu vya ajabu ajabu kwenye video; usi comment kabla ya kufikiria vizuri kwani... zingine zinatengenezwa kwa nia ovu ya kuchafulia mtu....
 
Technologia inaenda kwa kasi sana (wanaita AI)
Usiamini kila picha unayo ona, utajipa presha bure bila sababu
Sasa hivi hata ukiona mtu maarufu anaongea vitu vya ajabu ajabu kwenye video; usi comment kabla ya kufikiria vizuri....zinatengenezwa....
Hiyo kitu ni real sio AI
 
Huyo ni pumbavu, GPA mbovu ana relate vipi na gari, alafu kapiga picha ka edit na kujirefusha aonekane mrefuuuu, pumbavu kabisa, kwa kumtizama tu usoni unaona kabisa ni pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…