Nani kamchokoza huyu Kijana??

Mimi naona kurithishwa fresh tu bwashee kwani wakati wazazi wake, wanatafuta cha wakuwarithisha watoto wao wazazi wangu walikua wapi?
Sawa, lakini sasa asitumie hicho kama kigezo cha kuwaingiza wenzake mkenge, GPA ya 2.5 haijahusika kwenye kupata hayo magari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…