Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kichuya ni winga,kufunga siyo jukumu lake namba moja BALI kutengeneza mashambulizi au nafasi kwa strikers kufungua.Kufunga ni jukumu la pili kwake.Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.
Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli , kuna nini kimemtokea ?
Dah! Hilo la Singano mjomba umegonga penyewe hasa .wanaoua viwango vya wachezaji Tz ni wanahabari na Mashabiki wenyewe mara leo wamemchangia pesa Kesho gazeti likiandika Kichuya kama Messi ndo basi hata motion inabadilika kabisa.
wachezaji wajue mpira ndo kazi yao.
Yuko wapi Singano leo? Simba to Azam kiwango chali
hakuna cha Uchawi wala nini Leo Nigeria wangekua na kila kombe kama kuna Uchawi kwenye Soka
hatukatai Pesa ni Muhimu ila wajitaidi kulinda na Viwango vyao huko Waendako.Dah! Hilo la Singano mjomba umegonga penyewe hasa .
Dah! Hivi yule Mzee wetu Bamchawi bado yuko hai ?Habari ya Mujini hivi sasa ni Simon Msuvaaaaa,huyo Kichuya ameshakuwa Chujio la Tui la Nazi.
Cc:Sembo.
Ameshatoa assist ngapi mpaka sasa hivi??kichuya ni kiungo mshambuliaji then unasema sio jukumu lake kufunga mwee...haya tuambie katoa assist ngapi toka aache kutotimiza jukumu ambalo sio lake yaani kufunga?[emoji15] [emoji15]Kichuya ni winga,kufunga siyo jukumu lake namba moja BALI kutengeneza mashambulizi au nafasi kwa strikers kufungua.Kufunga ni jukumu la pili kwake.
Aidha, mpira wetu ni mgumu kwa kuwa kukamiana ndiyo habari ya soka la. Bongo,mabeki wako tayari wafungwe na Pastory lakini eiyo Kichuya wala Mavugo.
Lakini hiyo soda imewasaidia kuongoza ligi kuu ya VPLnguvu za soda zile.sio kichuya peke yake hata mwendo wa simba unauonaje?
Woyooooo yanga tunaongoza ligiMsuvaaaaaaaaaaa goaaaal
Taaambweee goaaaaaaal
See u mwisho wa ligiWoyooooo yanga tunaongoza ligi
kumbe Nigeria ni wachawi sana eeeh!....hakuna cha Uchawi wala nini Leo Nigeria wangekua na kila kombe kama kuna Uchawi kwenye Soka
Shida ya Mikia FC mpk kama mademu wa Facebook, maji mara moja mshakolea swaga...huyu Kichuya anampira gani wa kutisha km sio wazimu wenu?Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.
Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli, kuna nini kimemtokea?