Nani kampiga misumari Kichuya?

Duh! Nimechoka .
 
Hakuna aliyemroga, yule ni mchezaji wa kawaida tu kama ilivyo kwa Juma Mahadhi, Kaseke, Mwashiuya na Webgine. Bahati pekee aliyonayo ni kupewa nafasi ya kucheza mechi nyingi zaidi kwa sababu nafasi anayocheza haina ushindani mkubwa wa namba. Kwa sasa amekuwa na magoli mengi kutokana ma kupewa majukumu ya upigaji penalt, kama sikusei amefunga magoli matatu kwa njiaa hiyo. Ukiongeza na goli la kona iliyopeperushwa na upepo anakuwa juu. Washabiki wa Simba tambuweni kuwa kichuya hana sifa na uwezo mliompa. Na si yeye peke yake, hivi ipo wapi ile combination hatari ya Kichuya, Mavugo na Ajibu? Wenyewe mliipa jina combination hiyo hatari "KIAMA" ni sawa?
 
Yanga acheni kubana .
 
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.

Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli, kuna nini kimemtokea?
mademu bana, unauliza ndevu kwa osama bana we veeepeee!!!
 
Wakikukamia na wewe wakamiw
 
Mkuu! hawa wachezaji wao huwa na perfomance ya muda mfupi tu. we angalia kama MSuva...yaani haonekani kama ukomo wake ni kesho.
sijui ni nini aisee!
Habari ya Mujini hivi sasa ni Simon Msuvaaaaa,huyo Kichuya ameshakuwa Chujio la Tui la Nazi.
Cc:Sembo.
 
Msuva?
 
Ameshatoa assist ngapi mpaka sasa hivi??kichuya ni kiungo mshambuliaji then unasema sio jukumu lake kufunga mwee...haya tuambie katoa assist ngapi toka aache kutotimiza jukumu ambalo sio lake yaani kufunga?[emoji15] [emoji15]
pepo la mavugo limehamia kwa kichuya.
 
Baada ya kupewa gari lenye mapepo kwisha habari yake.

Vitu vimeanza kukaa kwenye mstari wake taratibu. Sasa benchi linamnukia.

Mavugo bado yupo?

Mwisho wa msimu tutaelewana tu
 
Kichuya akitaka kufunga Goli labda awekwe kwenye poti then abebwe ndio awekwe nyavuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…