kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Shigongo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na kulipa tozo ya miamala ya simu tuweze kuinua uchumi ambao umeporomoka, amewataka wananchi kuvumilia machungu kwa miezi kuanzia kumi na nane au zaidi.
Kauli hii inakuja wakati ambao ripoti ya timu ya wataalam iliyoundwa kuchunguza fedha zilizotumika kutoka hazina kwa miezi mitatu ikidai kwamba hakuna fedha zilizokwapuliwa.
Itakumbukwa siku chache kabla kifo Cha JPM tuliaminishwa uchumi wetu upo 6.8 lakini baada tu yakufariki tukaambiwa uchumi upo 4.8.
Wakati huo huo Waziri wa fedha ameahidi kuwa wataachia trilioni tano kuingia kwenye mzunguko bila kueleza zinatoka wapi na kwa kazi gani.
Mazingira haya yanatoa fumbo kubwa kwamba nchi yetu inaendesha kisiasa zaidi na kwa uongo kitu ambacho ni kinyume kabisa na ndimu za viongozi kwa wanannchi.
Upo uwezekano kabisa hazina pamekauka na wabunge wa CCM wanalijua na ndio sababu yakushindwa kusimama na wananchi wakati wa bajeti na kupelekea serikali kupitisha tozo zinazowaumiza wananchi na kuua uchumi kwa jumla badala ya kuukuza