Nani kamtuma Shigongo atoe siri kwamba Hazina imekauka?

si kweli kwamba Hazina hamna pesa wanasiasa sio watu wazuri.
 
Shigongo anaupiga mwingi sana kumharibia Mama, nafikiri hii ni agenda ya Sukuma Gang.
 
Kwani kudaiwa ndio inamzuia mtu kutoa maoni yake??

Kama anadaiwa atalipa, au amekuambia halipi?
Anapokuwa anatoa Maoni Kuwataja Watu wawe Wazalendo kulipa Kodi Basi na Yeye awe Wa Kwanza Kulipa Kodi Pia. Kampuni Yake ya Mafuta Mpaka Sasa haijalipa Regulatory Levy more than a year.
 
Kwani kudaiwa ndio inamzuia mtu kutoa maoni yake??

Kama anadaiwa atalipa, au amekuambia halipi?
Acha naye huyo!!!

Hajielewi halafu hii tabia ya kuleta tuhuma za mtu baada ya yeye kukosoa serikali ni mambo ya kitoto sana na ndio yanafanya watu wawe wanafiki bongo.
 
Sasa mbona kichwa na content vinatofautiana
 
Very many comments but virtually all the comments either pro or against are childish.

The government had money to run its activities, when you cannot manages well funds, people must speak, this is whether it is from Shigongo or any other because it is a living fact.

How politics is introduced here ?, it is either Treasury is bankrupt or otherwise. We must be in an orthodox mind when discussing our daily lives. Samia or Shigongo are not on our plates to be dinned, only money will make food on our table.
 
muandika thread mbona Sijaona sehemu Shigongo amesema hazina imekauka.?au ww ni ghostwriter wake..
 
Swala kwamba hazina imekauka ni uzushi tu,

Mishahara ilikua inalipwa kwa wakati.

Wakandarasi walilipwa,

Hakuna project kubwa iliyosimama kwa kukosekana kwa fedha.

Akiba ya fedha za kigeni ipo ya kutosha.

Hivyo hizo ni propaganda tu kujustify tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…