Nani kasema Jela Kubaya?

Nani kasema Jela Kubaya?

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
363
Mhhhhhh...........tuendelee kadri inavyowezekana lakini chonde chonde wandugu, tusifike huku. Rate ya crime itaongezeka for sure!! Lol.
 

Attachments

Duh, Mzee, hawa watu wana promote uhalifu? Mbona living environment nzuri namna hiyo? Manake hizo selo ni "rooms with a view"!!

Ngoja nicheki crime rate ya Austria.

Kwa kuuliza tu, yule babu Joseph-sijui - nani alomfungia mwanae ndani miaka na kuzaa nae ndipo alipo?
 
Kwangu hakifunguki kitu!
Sijui kwavile sijazima cpu toka saa 12asbh!
 
wekeni na picha za keko ndio tujue kama jela sio kubaya au la.... hizo za wenzetu huko sio kipimo kizuri
 
But one thing that those men lack is freedom. No matter how nice the environment is I still don't think it's worth losing your freedom.
 
Duh hiyo kali kweli kweli manake sehemu zingine ni kama supermarket au au shopping malls
 
Back
Top Bottom