Duh, Mzee, hawa watu wana promote uhalifu? Mbona living environment nzuri namna hiyo? Manake hizo selo ni "rooms with a view"!!
Ngoja nicheki crime rate ya Austria.
Kwa kuuliza tu, yule babu Joseph-sijui - nani alomfungia mwanae ndani miaka na kuzaa nae ndipo alipo?