Nani kasema Kanumba hajui kiinglish??

Nani kasema Kanumba hajui kiinglish??

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Watu wamekuwa wakisema kuwa kanumba hajui kiinglish, Angalia then toa maoni yako nani anaweza zaidi kati ya K na hawa jamaa.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=AGuOJiqf1Tg[/ame]
 
ukweli ni kwamba hawa jamaa inglishi yao ni pua kuliko ya kanumba. lakini ukweli unabaki palepale kuwa kanumba HAUJUI kiingereza, japo kutojua kiingereza si tatizo sana, lakini MBAYA zaidi ni yeye kutojua kama hajui kiingereza, la sivyo angekuwa anashuka kibongo tu.
 
Back
Top Bottom