ukweli ni kwamba hawa jamaa inglishi yao ni pua kuliko ya kanumba. lakini ukweli unabaki palepale kuwa kanumba HAUJUI kiingereza, japo kutojua kiingereza si tatizo sana, lakini MBAYA zaidi ni yeye kutojua kama hajui kiingereza, la sivyo angekuwa anashuka kibongo tu.