Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika
Nilikuwa aidha nimesahau, au sijafikiria hili!Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika
Bravo!:A S-cry:babaangu ambaye ilikuwa ukiongea vibaya kuhusu CCM na alikuwa na wadhifa fulani kabla ya kustaafu leo hii kanambia mwanangu kura yako itendee haki Mpe DR Slaa .. naona kila mtu anahitaji mabadiriko ..namshuru babaangu kwa kulitambua hilo
Broda kwani hujasoma threads zote za leo?Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
Mkuu MMKJJ, heshima mbele. Angalau ungeweka ka-uthibitsho kidigo ili unitie furaha na hayo unayosema!
MM, evidence?
Yeomiiiii! Unambipuje mzee wa watu?Bravo!:A S-cry:
Nipe namba yake ya simu nim'dipu' anipigie!
Hawa ndio wazee wachache wanaowaza kwa vichwa!
U just can't nap Preta lol!Hivi jamani hata kama hujui kusoma....hata picha huelewi
nim'dipu'
U just can't nap Preta lol!
Picha nyingine zimefutika je.
DOM SHWAAALI. ILA UPINZANI UBUNGE NI HAFIFU SANA, URAIS NI SLAA TU. MI NISHAPIGA KURA YANGU KWA Dr WA UKWELI..Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
mbavu sina.
umenikumbusha mzee mmoja ni 'boss sumatra' lakini hawezi kusema 'pipu'
so wichi is wichi.....dipu or pipu?
so wichi is wichi.....dipu or pipu?