Nani kati ya hawa anaweza akawa na Akili Timamu kuliko mwenzake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kocha Mkuu " Timu yangu haina uwezo wa Kucheza na Waarabu hawa na sina Kikosi cha Kucheza nao kwani sikusajili kwa ajili ya Mashindano ya Kimataifa huu ndiyo ukweli na tusije Kulaumiana kama Matokeo yakiwa mabaya "

Makamu Mwenyekiti " Kama kuna Timu ambayo ni nyepesi, haina mpira wa Kutisha halafu inafunguki vizuri kabisa basi ni hii ya hawa Waarabu. Naomba kuwatoa hofu Wapuuzi FC wenzangu popote pale walipo kuwa tunaenda Kupindua meza na Klabu yetu itafuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika "

Nasubiri majibu yenu.
 
Haji Manara Simba kabla ya kucheza na UD SONGO alisema " Simba hii ni the best in Africa , Hii ni kwa ajili ya kushindana na wakubwa wenzetu TP MAZEMBE, AL AHLY, ESPERENCE , ZAMALEK, simba wasipofika nusu fainali kombe la afrika nitoswe baharini, hahaha ha nadhani Haji Manara ndio kubwa la mbu mbu mbu vichaa,
 
Je, umejibu kulingana na Swali lililoulizwa au umejibu kwa Msaada wa Bange uliyovuta na Gongo uliyoamka nayo Asubuhi ya leo Ndugu?
 
Wewe mtoa mada unaoneje nini mtizamo wako kiuhalisia wa kauli zilizotoka?
 
Haji Manara Simba kabla ya kucheza na UD SONGO alisema " Simba hii ni the best in Africa , Hii ni kwa ajili ya kushindana na wakubwa wenzetu TP MAZEMBE, AL AHLY, ESPERENCE , ZAMALEK, simba wasipofika nusu fainali kombe la afrika nitoswe baharini, hahaha ha nadhani Haji Manara ndio kubwa la mbu mbu mbu vichaa,
Kwamba hata akija Barca anakaa tuu...teh teh..........
 
Mwaduiiiiii!! kuna mbumbumbu huku a.k.a Popoma mdogo, analeta fyokofyoko! Njoo umshughilikie tena.
 
Haji Manara Simba kabla ya kucheza na UD SONGO alisema " Simba hii ni the best in Africa , Hii ni kwa ajili ya kushindana na wakubwa wenzetu TP MAZEMBE, AL AHLY, ESPERENCE , ZAMALEK, simba wasipofika nusu fainali kombe la afrika nitoswe baharini, hahaha ha nadhani Haji Manara ndio kubwa la mbu mbu mbu vichaa,
MENINA FC kwisha habari yenu
 
Kocha Mkuu " Timu yangu haina uwezo wa Kucheza na Waarabu hawa na sina Kikosi cha Kucheza nao kwani sikusajili kwa ajili ya Mashindano ya Kimataifa huu ndiyo ukweli na tusije Kulaumiana kama Matokeo yakiwa mabaya "

Makamu Mwenyekiti " Kama kuna Timu ambayo ni nyepesi, haina mpira wa Kutisha halafu inafunguki vizuri kabisa basi ni hii ya hawa Waarabu. Naomba kuwatoa hofu Wapuuzi FC wenzangu popote pale walipo kuwa tunaenda Kupindua meza na Klabu yetu itafuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika "

Nasubiri majibu yenu.
Makamu mwenyekigoda ndiye kasema ukweli,sisi timu wananchi tunapenda Uwongo mtamu kuliko ukweli mchungu. Big up Mwakalibe.... kwa kutupa matumaini na tunasonga mbele,kifua mbele mpaka UbInGwA.
FB_IMG_15722742215597179.jpeg
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
 
Back
Top Bottom