Nani kati ya hawa walevi ni jipu.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
1. Umelewa unaenda bafuni kukojoa kisha kwenye kioo unajiona sura yako na kusema "samahani sikujua kama kuna mtu " unatoka ili umsubiri amalize uingie.
2. Unarudi home uko mbwii unaanza tafuta cm yako, kumbe iko mezani. Unaamua kuichukua na kuwasha tochi, mara cm hio inalia unapokea na kumjibu alopiga kuwa apige badae kwani unatafuta cm yako.
3. Unatoka baa unaingia garini ile kuingia barabara kuu unakutana na lori la Dangote liko pale miaka 2 limepaki. Baada ya masaa 2 unaamua kupiga kelele kua, "mbona nyie hamsogei foleni gani hii"
Usicheke sana inaweza kuku tokea pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…