Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Habarini wakuu
Hapa Africa kuna masoko (regions) meng tofauti. Kuna East Africa, West Africa (Ghana, Nigeria), South Africa, Francophone countries etc...
Kimataifa kuna America, Europe... Wizkid kajtahd
Tuangalie soko la Africa kwanza
Je kati ya kiba na Vanessa nan kateka soko?
Karbuni kwa mapovuu, mchango, mengneyo, etc