Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Toa na sababuVanessa ni wa kimataifa zaidi kuzidi dada wa kariakoo
Kwani kigezo ni kufanya kolabo na wanaijeria?Mimi naona Vanessa kwa sababu ana collabo nyingi na wasanii wa huko Nigeria
Hayupo hapoShilole
sijamaanisha ndio kigezo cha 1 kwa 1Kwani kigezo ni kufanya kolabo na wanaijeria?
Mvaa uchi!!! Tunaangalia sokoAcheni kufananisha tembo na mvaa uchi